sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hbari wana jf,
kuna dogo anaenda masomoni kwa mwaka 1 hivi, mwezi wa tatu alifanikiwa kuagiza gari yake toyota carina ti, ni mpya na kiukweli kaitunza, ataiacha kwake ila sehemu hio iko wazi na jua huwa linapiga je, ni turubai zipi nzuri za kuzuia hii hali?
kaniomba aniachie funguo kwajili ya emergency endapo ikitokea hatari maana sisi ni majirani, sasa nimeona gari yake itapigwa jua sana maana aliomba niwe naliendesha lakini mimi nishazoea kutumia gari yangu huwa sina mazoea kutumia za wengine, ni turubai lipi atumie?