sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Amwachie ndugu au rafiki yake anayemwamini na asiye na njaa...Hbari wana jf...
kuna work mate anaenda masomoni kwa mwaka 1 hivi sasa ana gari yake ataiacha kwake ila sehemu hio iko wazi na jua huwa linapiga,,,, je ni turubai zipi nzuri za kuzuia hii hali ??
Sio turubai, ni cover za magari. Usijeweka tu turubai yale hayazuii joto. Yako hivi kama unavoona, kwa ndani ni soft sana
View attachment 2346779
Yanauzwa Tsh 150k ukipigwa sana 170 Mlimani City (Game).
Ila mwaka mmoja mkubwa sana. Nashauri pamoja na kufunika, angalau kila baada ya week 2-3 au mwezi mmoja max. vitu hivi vifanyike:
1. Mtu awashe gari. (Itasaidia vimiminika vizunguke na battery)
2. Mtu aendeshe ata kwa nusu saa (tairi zisikae pale pale zitaoza na itapunguza kutu)
3. Kuliosha vizuri.
Trust me gari iliowekwa inachakaa zaidi ya inayotumika.
Mwambie auze asije kuwapa watu lawama.Hbari wana jf...
kuna dogo anaenda masomoni kwa mwaka 1 hivi, mwezi wa tatu alifanikiwa kuagiza gari yake toyota carina ti, ni mpya na kiukweli kaitunza, ataiacha kwake ila sehemu hio iko wazi na jua huwa linapiga,,,, je ni turubai zipi nzuri za kuzuia hii hali ??
kaniomba aniachie funguo kwajili ya emergency endapo ikitokea hatari maana sisi ni majirani, sasa nimeona gari yake itapigwa jua sana maana aliomba niwe naliendesha lakini mimi nishazoea kutumia gari yangu huwa sina mazoea kutumia za wengine, ni turubai lipi atumie
Aombe hapo Panya wasije wakaingia wanafanya Yao,anaweza akafurahi na roho yake.Sio turubai, ni cover za magari. Usijeweka tu turubai yale hayazuii joto. Yako hivi kama unavoona, kwa ndani ni soft sana
View attachment 2346779
Yanauzwa Tsh 150k ukipigwa sana 170 Mlimani City (Game).
Ila mwaka mmoja mkubwa sana. Nashauri pamoja na kufunika, angalau kila baada ya week 2-3 au mwezi mmoja max. vitu hivi vifanyike:
1. Mtu awashe gari. (Itasaidia vimiminika vizunguke na battery)
2. Mtu aendeshe ata kwa nusu saa (tairi zisikae pale pale zitaoza na itapunguza kutu)
3. Kuliosha vizuri.
Trust me gari iliowekwa inachakaa zaidi ya inayotumika.
Panya wajinga wanakula hadi vyuma.. 🤣🤣Aombe hapo Panya wasije wakaingia wanafanya Yao,anaweza akafurahi na roho yake.