Anaendeleza mahusiano na mpenzi wa zamani

Anaendeleza mahusiano na mpenzi wa zamani

Amney

Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
54
Reaction score
4
Hvi utafanyaje once unapogundua boyfriend wako ana uhusiano nyuma ya pazia na demu aliyezaa nae hapo awali kabla yako
 
Jaribu kua serious na matatizo ya watu kua mstaatabu bac
 
Hyo sura ndo inayomfanya mtu awe chizi au nachanganya? ]
 
hawara hana talaka..ukimtaka unampata..
 
Hvi utafanyaje once unapogundua boyfriend wako ana uhusiano nyuma ya pazia na demu aliyezaa nae hapo awali kabla yako

Kama unampenda kwa dhati mwambie kuwa sio vizuri afanyavyo.. ila kama nawe bado upo njiani kutafuta mwingine ..mpotezee. Ila kama na wewe unafanya nje ya yeye...bac uchune
 
Back
Top Bottom