Anaetaka kujua na kupata info zaidi kuhusu chuo&course aliyochaguliwa

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Nimebaarikiwa kujua vitu vingi xana kuhusiana na sekta ya elimu na taasisi zake,mie n kijana mdogo bt am xo updated,xo ask me anythng kupata more info about selection,mkopo etc. Via-> [updated-boy] mob:-0768260834 email:-innocentmbwaga093@yahoo.com website:underconstruction
 
we mtoto ushaanza kukera sasa!
 
oyi aje jembe mie mzumbe coz heath system management unachukuliaje kuanzia mkopo had ajira?
 
Huyu dogo kapotea njia,..!! Ataliwa mapanki huko SUA na hiyo family consumer mpaka akili ikae sawa...!!
 
Hongera kwa kubarikiwa..ila mi nataka sponsorship wa kunisomesha university of Edinburg nimepata admission huko.e
 
kuhuxiana na mkopo,,utapata tu wala hata ucjal kwa sababu wanaangalia vgezo kama (i)death certfcate (ii)ufaulu wako (iii)maxomo uliyoxoma-combination (iv)koz unayosoma !.,ucjal utapata tu ajra although ki ukwel ajira inazdi kuwa ngumu kadri ciku znavyozd kuxonga mbele wataalam wengi !!xo ajra lazma ziwe chache umenipata mkuu [updated-boy]
 
Hongera kwa kubarikiwa..ila mi nataka sponsorship wa kunisomesha university of Edinburg nimepata admission huko.e

ningekushauri ujaribu taasis binafs zilizopo bongo zinazohusiana na coz unayoenda kuxoma ili wa kufadhli,mfano;mfuko wa benjamin mkapa unadhamin wanafunz wa sayansi [updated-boy]
 
Huyu dogo kapotea njia,..!! Ataliwa mapanki huko SUA na hiyo family consumer mpaka akili ikae sawa...!!

bro let me tel u ths,am xo careful and i ll be when am at sua..thanx 4ur caution! [updated-boy]
 
we mtoto ushaanza kukera sasa!

Eti amebarikiwa kujua mengi! Amesahau alivyokuwa anahangaika kuulizia namna ya kuhamia BVM?! Eti leo naye anataka 1st year wamfuate awape updates! Makubwaaaa! Huyu dada wa family consumer watakula kichwa yake huyu! Dada punguza makeke!
 
Nenda kule love connect utamkuta,..eti amebarikiwa kuwasaidia watoto wa kike...lol
 
Eti amebarikiwa kujua mengi! Amesahau alivyokuwa anahangaika kuulizia namna ya kuhamia BVM?! Eti leo naye anataka 1st year wamfuate awape updates! Makubwaaaa! Huyu dada wa family consumer watakula kichwa yake huyu! Dada punguza makeke!

ha ha ha!ya kweli haya?
 
Back
Top Bottom