ha ha ha!ya kweli haya?
Nimebaarikiwa kujua vitu vingi xana kuhusiana na sekta ya elimu na taasisi zake,mie n kijana mdogo bt am xo updated,xo ask me anythng kupata more info about selection,mkopo etc. Via-> [updated-boy] mob:-0768260834 email:-innocentmbwaga093@yahoo.com website:underconstruction
Nenda kule love connect utamkuta,..eti amebarikiwa kuwasaidia watoto wa kike...lol
mi cio dada sir ok?
Atakaekuuliza atakua nae ni kilaza sana, kwa huo uandishi xi, xana ,xuku, xixi... poleni sana vijana wa siku hizi kwa ulimbukeni usio na faida..
Wasalimie Zebe na Tina.