Sasa inabd nkupeleke tu kwaSijaona post yoyote wallahi
Nimeona avatar yako tu
Pole shoga jiepushe na hao mashogaWee acha tu best ni makubwa kupita maelezo
Ha haa hakunaga cr ya wawiliUsimlaumu yeye jilaumu wewe ulieshindwa kukaa kimya, hahah, kitu kikishakuwa siri, unatakiwa ujue peke yako, kama na wewe uliambiwa hiyo si siri tena. Kwa hiyo ukiona unamwambia rafikiyo siri ujue umeshindwa kuitunza unamtafuta wa kukusaidia kuitunza, na yeye kashindwa kuitunza kaipeleka ikatunzwe na wahusika.😀😀😀😀😀😀😀😀😀
pole mno.
Hapana yani sijui hata nianzeje unielewe!kama kakuchongea kwa
baby wako , wewe komaa na baba umweke saawa ataelewa maana mbinu mnazo nyingi sana.
Pole.Jamani naongea haya kwa masikitiko na huzuni kubwa sana hapa. Sina pozi kabisa mwenzenu natafakari bila kupata majibu juu ya sisi wanawake
Kuna sehemu unaeza kuta wanaume wawili watatu wamekaa wao kwa wao wakiongea yao yakiume sijui ya mademu sijui michepuko sijui yule anaringa mara hana lolote nanyinginezo.
Vivohivo kwa wanawake . Wanapokaa wanawake wawili watatu unategemea wataongea story gani kwa mfano???
Hivi unapoambiwa kitu juu ya mtu/ watu fulani ukikaa nacho unawashwa??? Huyooo patupatupatu unapokipeleka moja kwa moja kwa muhusika / ndugu au jamaa yake wa karibu sana unatarajia nini?!!
Hapa kwetu nusura pageuke Uwanja wa kungfu Leo mimi nilijihami nikajifungia zangu ndani tu baada ya kuona hali ya hewa imeharibika make hata kupigana siwezi.
Najuuuuuuuuuuuta kwakweli. Kuanzia sasa nikiwa sina ishu nibora nije kukesha jf kwenye siasa tu sitakosa la kuongea juu ya Bashite stori ya mujini. kuliko kukaa na Ndumila kuwili.
Nimekoma yani kiranga komooo hapa.
Kwani nimefanya nn joohSasa inabd nkupeleke tu kwa
Pilato
Kuna pia ya wawili. Au hauaminiAsante. Nimeamini siri ni ya mtu mmoja jamani.
Asante nduguAiseeee!!! Yan hata mashoga,zako hawana hata huruma wanaamua kukuchafulia cv yako
Pole my kapet wang
duuuh kumbe ndo iko ivi, inaelekea kufanana na ya kwangu maana nilimtongoza stafu meti akanitishia kumwambia mke wangu ikabidi niwe mpole. ila jikaze mkuu ndo ukubwaHapana yani sijui hata nianzeje unielewe!
Nahivi kuna baba hapa tunafanya nae kazi moja. Siku ya jumamosi tulikua hukoo kazini.
Huyo baba anataka mazoea yaliyopitiliza namimi kiutu uzima hapa utakua ushanielewa.
Sasa mimi nikamshirikisha bidada hapa namuuliza hivi baba K ana shida gani lakini ??
Si ana mke yule mkewe si tunashinda nae kabisa hapa sasa anapoleta hizo habari anatarajia nini?? Nikamweleza tu kikawaida mwanamke mwenzangu huyu baba nahivi navile ananiambia hivi vile
Eti usiku nitoke nje iwe hivi iwe vile!
Heeeeeeeeeeeeeeeeeh kayapeleka kama yalivo kwa mke wahuyo baba jamani! Mke wawatu kashinda analia tu Leo. Mumewe kumuuliza akaanza kumwambia mama fulani kaniambia hivi navile. nataka kuondoka kwetu ubaki nahuyo mahondaw Tobaaaaaaaaaaa. Jioni mume kanifata hivi weeweee...... Uwiii
Koh MaHo kamoyo kangu kuna mtu nimemkabidhi nikakachukue atakaniumizia eeeh.!Hakuna kabisa. Hata mke/ demu wako usimuamini kabisa.
Punguza tamaaKwani nimefanya nn jooh
Sasa mimi kiroho Safi tulikua tunapiga story za hapa na pale nikamshirikisha mwanamke mwenzangu. Asiende kumwambia mkewe!! ' mkewe asikonclude kuwa mahondaw anatembea na baba k na kulia tu kutaka nauli aende kwao eti abaki nahuyo mahondaw yaniiiiii dah!duuuh kumbe ndo iko ivi, inaelekea kufanana na ya kwangu maana nilimtongoza stafu meti akanitishia kumwambia mke wangu ikabidi niwe mpole. ila jikaze mkuu ndo ukubwa
Kuna post nimeeleza chanzo pitia pitia vizuriNatamani ningeupata mkasa mzima ili nijue nakusaidia vipi ila ni njia nzuri ya kujifunza hiyo najua hutorudia tena kosa piga moyo konde maisha ysnaendelea mlikutana kimjini mtaachana hivyohivyo usiuzunike sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2]Tupo wanawake watatu hapa saivi Kila mmoja haongei na mwenzie. buyu buyu tu hakuna hata habari za nisogezee kijiko sijui kimyaaaaaa