Anaewaelewa wanawake anisaidie

Uache umbea kuongelea mambo ya watu
Umedandia gari kwa wapi wewe??? sijaongea mambo ya watu bali nimesema uhalisia kwa rafiki yangu juu ya jambo linalonihusu ..rafiki kapeleka zima zima kwa mke wa mtu na kuleta kizaa zaa usiku huu
 
Kidogo udundwe [emoji13] [emoji13] [emoji13] pole sana mahondaw
 
Kwa sababu ni mtu wake kujishtukia lazima... Hata wewe my dear unapohisi mtu wako ana dalili za kunyemelea/kunyemelewa na mtu mwingine kama una mpenda kweli u will react...

Mfano hao unao hata sasa... Whats going on...
Na ndo maana natafakari hapa sipati majibu
Kwanini amwambie ilhali anajua kabisa ni mkewe???
Sawa wanawake tuna maneno lakini mida mingine tunafikiria tunapokalia ndomana yanakua haya laiti kama angetumia akili huyu asingemwambia
 
Wanawake mmeumbwa hivyo tu... Umbea wa kupeleka maneno huku na huko... Unatakiwa uwe makini sana with whom you are telling your things...

Or else kila mara utaonekana vinginevyo... Mimi nakulewea sana Super dear...

Pole sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…