Anaewajua Hawa Warembo wa Bongo

boma2000

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2009
Posts
3,279
Reaction score
310

(Picha kwa hisani ya Mchonga)
Naomba anawajua hawa warembo wa Bongo atupe majina yao
 
rose ndauka, jack na mwenzao-wasanii wa bongo vumbi
 
Rose mrembo wa ukweli ila sijui ni kulewa umaarufu au!
 
Kwanini wanapenda kuweka mikonge vichwani mwao? Hawana nywele asilia lol wanakera
 
hao sio warembo ni warembwa. Maana wamerembwa na bado hawajarembeka
 
rose ndauka, jack na mwenzao-wasanii wa bongo vumbi
Asante Mkuu. Rose kidogo wamo ila mkorogo apunguze unless kama mkorogo nfiyo unamfanya aondekane onekane
 
Sio kila mwanamke ni mrembo. Huyo aliyeshika chupa ya maji nae mrembo?
 
bongo kuna warembo lakini sio hawa

wewe si mwenyeji bongo
 
wamependeza bwana, wote wanasura za kuvutia, wapeni sifa zao.
mwanamke rangi ya chungwa ati!
mwanamke body la kushika ati!
mwanamke boobs ati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…