Anaewaza kufikishwa kwenye mapenzi ni mgonjwa. Kwenye tendo wajibu ni kujiandaa kufika kileleni na sio kufikishwa.

Anaewaza kufikishwa kwenye mapenzi ni mgonjwa. Kwenye tendo wajibu ni kujiandaa kufika kileleni na sio kufikishwa.

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam nyote,

Karne hii binadamu wehu wanetamalaki, hawajui kusudi lao la kuishi, hawajui wajibu wao wa msingi katika kuishi furaha na amani.

Wanawake wanaimba kufikishwa what a shame, wanawake wamejaa ubinafsi uliokithiri. Mapenzi yapo kwenye akili na nafsi ya Kila mpokeaji na mtoaji.

Kila mmoja akijiandaa kujipa furaha na atapata furaha, ila ukitegemea kupewa furaha basi hapa Duniani ondoka sio salama kwako.

Kushiba ni neno lenye tafsiri mtambuka kutegemea na mlaji. Kufika pia inategemea na msafiri na anakoenda na alikopanga kwenda.

Ili kuondokana na lawama mwanamke afanye ngono tarehe zake za kupata mimba tu.

Mengine mtaongezea naishia hapa.

Karibuni furaha yako ni wajibu wako.

Wadiz
 
Usipomfikisha atafikishwa. Vijana wa hovyo wamejaa mtaani na wanaipenda hiyo kazi kinoumer.
 
Back
Top Bottom