anafanya kazi bodi namtafuta nina siri nzito

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
680
Namtafta mfanyakaz wa bodi ya mikopo na anithbitishie nina sir nzito nataka nimpe coz nimechoka kujua kit na kukificha
 
siri nzito unataka kumpa rushwa?siri nzito kamwambie kikwete
 
Sema mkuu au ni ile ya tuhuma za kutumia fedha za wanachuo,ambapo safari hii nasikia zimefeli na hivyo kushindwa kuzirejesha.
 
Weka hapa hiyo siri itamgikia tu
 
Wapo wengi kijana kuwa specific! au niPM ntaifikisha.
 
Unataka kumpa rushwa upate boom nini nasikia wengi wenu no loan atii...
 
Namtafta mfanyakaz wa bodi ya mikopo na anithbitishie nina sir nzito nataka nimpe coz nimechoka kujua kit na kukificha

unatuzuga tu huna lolote,kwanini umtafutie humu au alikwambia anashinda jamiiforum,nenda kwenye zao utamkuta huko na mkamalizane naye maana umeshasema ni siri,mnajaza tu mipost humu isiyo na maana yoyote,subiri matokeo yenu yatatoka mda c mrefu mwende shule tena mtuachie jukwaa letu
 
Hebu acha kujaza uchafu humu.....pumbaaaaaaaafu kabisa,
by the way mtihani wenu form six unaanza lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…