KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 875
Ni jambo la ajabu na aibu Kwa Polisi kumushitaki Raia Samson Mwigamba kuwa anawachochea Majeshi yetu kuasi amri halali za wakubwa zao na pengine kuto mtii Rais Kikwete!!!
Hapa inaonekana kuwa Majeshi yetu yaneweza kuamuliwa na mtu yoyote kutoka kokote na wao wakatii na kumupindua Rais au kufanya uasi!!
Mashitaka haya yangekuwa halali ingekuwa Samson Mwigamba ni Mwanajeshi au kachero ambaye anaushawishi wa kijeshi kwa wanajeshi!!
Kama huwezi kumushawishi Mbwa ambaye hujamufuga wewe kukutii iweje Askali ambao ni wanadamu na wanakiapo cha utii kwa Rais???
Ni kwa nini Polis wasifikiri jambo hili???. Hivi mkeo anaweza kuamuliwa na mwanaume yeyote ndani ya nyumba yako na wewe ukasema una mke???
Hapa mimi naona Rais hana imani na Jeshi lake ndio maana anaogopa kuwa mpinzani wake SLAA kupitia Chadema ana nguvu na Wana jeshi wanamtii kuliko yeye!!!
Hapa napata Ukweli kuwa huenda Kikwete kaingia kwa Nguvu Madarakani na Kwamba Majeshi hawamtaki!!!
Natoa angalizo kuwa Kuendelea kuwakamata Raia na kuwapeleka Mahabusu wanazidi kufichua udhaifu wa Majeshi!!
Pia upo ukweli kuwa Majeshi yetu askali wa chini wanaendekeza Kanuni ya Ndio Mzee na hiki ndicho chazo cha kuenea Ukimwi Kwenye Majeshi!!
Askali wa Cheo cha chini mwanamke analazimika kufanya ngono na polisi wa juu kuhofia amri kupingwa na mabavu haya yapo kwenye majeshi yote na wasipo tii wanashushwa vyeo.
Kule Iringa kambi moja ya Jeshi bossi wa jeshi alikuwa ana mpanga mwanamume kwenye zamu ya usiku huku Boss huyo anageuka Usiku huohuo kuzini na mke wa aliye zamu.
Yule Bwana alipo gundua alimpiga risasi Boss hadi leo ni bhistoria!!!
Nawashauri polisi kuondoa mashitaka dhidi ya Raia kushawishi Jeshi ni aibu kwa Taifa!!!