tupo wtoto wanne katka familia yetu but mmojawetu ambaye ni dada yetu mziwanda ameambukzwa virus toka kwa mama ambaye sasa ni marehm. kwakwel toka nimchukue baada ya mm kumaliza chuo na kupata kazi nakuja kuishi naye hapa kwngu ameanza kuonesha tabia sinzuri yakudeal na vijana wa hapa mtaani nimegundua hili baada yakufanya upelelezi wakina. Nashindwa kufanya maamuzi yaharaka kwakuwa bado ninahasira sana moyon na yeye bdo hajagundua km mm nafaham anayoyafanya pia naona nikimsema atahs labda ninamnyanyapaa wakat mwngine nataman nimfukuze hapa kwangu. mim km kaka mkubwa wa familia nilipanga nimsomeshe chuo cha ufundi kwakuwa shule alipata four mbaya na almalza mwaka jana tu lakin ananivunja moyo kwakweli so naombeni ushauri wenu wadau maana naona km nimechanganykiwa sychologically kwan nadevelop tabia yakuwa nahasira hasira kila nikikumbuka hili