Habarini ndugu zangu,Naamini hamjambo.
Unajua kuna mambo ambayo ni magumu kumwambia mtu,wakati nikiwa chuoni miaka ya nyuma huko,kunamshikaji tulikuwa darasa moja na bahati mbaya group discussion moja.
Shida ya huyu jamaa nilikuwa nashindwa kumtofautisha na bata,namaanisha alikuwa na kikwapa uspime yani kama mna discuss swali 1 unaweza kuhisi ni maswali 10.Yani sielewi sijui alikuwa analala na bata au.........Halafu inaonekana yeye hajistukii na anapenda sana mambo ya kusalimia ki westen yani kukumbatia wenzie.Hivi unapokutana na mtu kama huyu unaanzaje kumwambia,nadhani hili jambo sio geni jamani mmesha kutana nalo.
Sangara ishu sio kumshauri ishu unaanzaje kumshauri?
Mkuu mambo yalikukera tangu enzi hizo ukiwa chuo na wala hukuomba ushauri wala hukuchukua hatua yoyote kumsaidia rafikio mpendwa ambaye mlishauriana mambo ya kimasomo,...lakn leo umeamua kuja mwanika hapa jamvini unafikiri itamsaidia kitu,......anyway labda alikuudhi na haukupata muda wa kumlanga
Sangara ishu sio kumshauri ishu unaanzaje kumshauri?
Mkuu Rogi sio mimi ningekuwa ni mimi ningewaambia tu wakuu hapa jamvini hakuna siri since mimwenyewe ni siri.Kinachonisumbua sio what to do ni how to doHt mm nataka kumuuliza km ww ulinvomuuliza....it was back then sio sasa....au ndo ww mwenyewe mkuu maana humu ndani watu wanaleta issue zao kivingine.
Ht mm nataka kumuuliza km ww ulinvomuuliza....it was back then sio sasa....au ndo ww mwenyewe mkuu maana humu ndani watu wanaleta issue zao kivingine.
duh! Hahahaaa lohkwani umewahi kumnusa bata wewe? na unazungumzia bata gani? bata mzinga? bata bukini? bata maji? bata pori?
Nenda naye kwenye banda la bata, mkifika hapo nipigie naku PM namba zangu sasa hivi.
Nenda naye kwenye banda la bata, mkifika hapo nipigie naku PM namba zangu sasa hivi.