Anahisi Anagundu..

Anahisi Anagundu..

chriss brown

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
292
Reaction score
63
Kuna jamaa yangu hapa anahuzunika sana,ana ma gals wengi tu,wamejitahidi sana kumtumia kadi za valentine,zawadi,sms kwa wingi.Anacholalamika ni kwamba,yule anae mpenda,hajajisumbua hata kufanya chochote kama walivyofanya wenzake.Maana hii ni valentine ya 4,kila anaempenda anamfanyia vitu kama hivyo.
Anahisi kama anagundu hivi.
 
Ushasema anama gals,atawaoa wote???ni gundu hilo ndio,wala asihisi.Mara nyingi mchagua nazi,hupata koroma..asubirie gundu la mwakan tena..Mpe pole lakini.
 
ndo angeonyesha mfano na kuanza kutuma yeye. Mbona anapenda kupokea ili hali hajui kutoa?
 
huyo ambaye jamaa wako anayempenda naye ana mtu ampendaye ambaye si jamaa yako ktk vidumu alivyonavyo!
 
ndo angeonyesha mfano na kuanza kutuma yeye. Mbona anapenda kupokea ili hali hajui kutoa?

Anasubiri kupokea tu,sijui anadhan wanavyo mzimia hao wengine ni wote watafanya hivyo..
 
Ushasema anama gals,atawaoa wote???ni gundu hilo ndio,wala asihisi.Mara nyingi mchagua nazi,hupata koroma..asubirie gundu la mwakan tena..Mpe pole lakini.

mbona mkali binti?ntampa pole anyway.
 
asihuzunike sana chakufanya achague mmoja wapo kati ya hao wengi anayempenda kupita wote maana huyo inaonekana huyo hampendi
 
Siku zote mtu anapojitoa kumpenda mtu na badala yake mhusika anamfanya mwenzie kidumu ajijue no matter wats lzm nae kuna mahala nae anafanywa kidumu vile vile!na hayo ndio matokeo yake,mpe pole!
 
siku zote mtu anapojitoa kumpenda mtu na badala yake mhusika anamfanya mwenzie kidumu ajijue no matter wats lzm nae kuna mahala nae anafanywa kidumu vile vile!na hayo ndio matokeo yake,mpe pole!

proved.
 
Hata kama mie,nijue tupo wengi,ukipata zawadi,au kadi au text yangu katambike,bora niwatumie ndugu zangu..
 
Hata kama mie,nijue tupo wengi,ukipata zawadi,au kadi au text yangu katambike,bora niwatumie ndugu zangu..

Bora wewe,kuliko anaelipiza kwa kuwa na vidumu..Mpo wachache wa kuwatumia ndugu zenu..
 
Back
Top Bottom