chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
ndo angeonyesha mfano na kuanza kutuma yeye. Mbona anapenda kupokea ili hali hajui kutoa?
Ushasema anama gals,atawaoa wote???ni gundu hilo ndio,wala asihisi.Mara nyingi mchagua nazi,hupata koroma..asubirie gundu la mwakan tena..Mpe pole lakini.
huyo ambaye jamaa wako anayempenda naye ana mtu ampendaye ambaye si jamaa yako ktk vidumu alivyonavyo!
siku zote mtu anapojitoa kumpenda mtu na badala yake mhusika anamfanya mwenzie kidumu ajijue no matter wats lzm nae kuna mahala nae anafanywa kidumu vile vile!na hayo ndio matokeo yake,mpe pole!
Kutopendwa mahali unapopenda ndio gundu?
Hata kama mie,nijue tupo wengi,ukipata zawadi,au kadi au text yangu katambike,bora niwatumie ndugu zangu..