Mtayarishaji
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 291
- 198
Mazungumzo ya vijana wa kileo kuhusu mahusiano.
BAE WAKE: Nakupenda kwa moyo wangu woote mpenzi wangu.
YEYE: Nakupenda pia mpenzi wangu.
BAE WAKE: Una ahidii kunipenda milele?
YEYE: YES ..Nakuahidi sitakuachaa.
BAE WAKE: Utanipa moyo wako wote?
YEYE: Tafadhali baby..
BAE WAKE: Inaa maana HUNIPENDI??
YEYE: Si hivo mpenzi wangu...
BAE WAKE: Ila...?
YEYE: KUNA MMOJA TU ALIYEUJAZA MOYO WANGU kwa UPOLE NA HURUMA ZAKE, UPENDO WAKE USIO NA UNAFIKI, KUNIJALI KWAKE, KUNISAIDIA KWEKE, KUNITIA MOYO KWAKE, NA KUNIOMBEA..
BAE WAKE: (Alilia sana na tena kwa machozi Mengi..lakin baada ya Muda akamuuliza) kwa hiyo utaniacha mimi na umuoe huyo??
YEYE: Sijawahi kutamani...siwezi kufanya hivyo kamwe.
BAE WAKE: Kwa nini????
YEYE: KWA SABABU NI MAMA YANGU...NAMPENDA SANA MAMA.
Hivi ndivyo vijana wengi huzungumza, wengine kutamani kupewa moyo. Mitego ya namna hii ukijua namna ya kuikwepa hutaumizwa na mapenzi.
Vipi wewe unampenda MAMA yako?
NB: Mazungumzo haya hayana uhusiano na mimi.