arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
Kuna jambo nimeona mtu anasumbuliwa na mazingira ya kiintelijensia anafuatwa kila aendako na kumwagiwa madawa kwa siri. Anasema anaonja kabisa na kuhisi kumwagiwa bila yeye kuwaona.
Kila nguvu ya dawa ikipungua wanaongeza tena. Hata walio naye wanasikia harufu ya madawa hayo. Inamfanya apate inferiority complex kimaisha.
JamiiForums pamekamilika, hapakosekani wajuzi wa mengi, je ni ushauri gani na njia gani tunaweza kumsaidia mwenzetu aondokane na hali hiyo maana nilipoona na kushuhudia kibinadamu nimeona hurumu na ni udhalilishaji uliopinduka na sasa inaendelea bila kikomo.