Anahitaji msaada wa kimatibabu na ushauri

Anahitaji msaada wa kimatibabu na ushauri

Wema Ally

Member
Joined
May 29, 2015
Posts
19
Reaction score
9
Habar zenu,

Nina rafkiangu anasumbuliwa sana na tatzo lakutokwa na vipele aina ya uvimbe ukeni, juu ya mashavu ya uke.

Nitatizo ambalo linamsumbua takriban mwaka sasa kila dawa za hospital katumia sindano kachoma sana bila mafanikio.

Huo uvimbe ukiota wala hauumi ila unaiva kama jipu ukiiva ndo unauma ukitumbuka usaha wake unatoa harufu.

Sasa jamani naomba msaada wenu maana anapata tabu na ilo tatzo.
 
japo sija viona..popote penye inflamation with purent(odour)pus...(kidonda chenye usa) huwa ni indicator ya bactria infection yaweza kuwa acute or chronic...ivyo kwa ushauri wangu namshauri atafute hosptal yyte ya level za juu afanyiwe culture ili kuweza kujua ni aina gani ya bactria wanao sababisha hlo tatizo kuliko kumeza drugs+ IV injection kwani kuna aina zingine za bacteria wana resist a certain antbiotics....!!! kama itashindikana basi atafute GYNACOLOGIST.
 
Back
Top Bottom