Anahitaji mshirika kwenye Biashara

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Habari wapendwa,

Kuna rafiki yangu (wa kiume) anahitaji mtu wa kumuonesha njia/kushirikiana naye kwenye Biashara

Na maanisha anahitaji mtu anayefanya Biashara tayari na anayehitaji mtu wachangie mtaji (wakuze mtaji) wafanye wote.

Ni mchapakazi (zote), muaminifu, Elimu kidato channe.

Yupo tayari kwenda mkoa wowote kama atapata mtu sahihi.

Unaweza kunifuata dm kwa maelezo zaidi
 
Umri wake mkuu
 
Weka kila kitu wazi, unaficha nini sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…