Anahitaji mwanamke wa kumfariji

Baba Mama

Senior Member
Joined
Apr 1, 2018
Posts
107
Reaction score
138
Sio mimi bali mshikaji wangu.

Iko hv:
Jamaa yangu alioa. Akazaa naye watoto wawili, lakini amekuwa hatulii kwenye ndoa anahangaika sana na wanaume. Nadhani ni kwa sababu alimuoa akiwa mdogo sana bado hakuwa na upeo mpana wa kuelewa nini maana ya kuolewa. Jamaa kahangaika naye hadi ka give up. Sasa, jamaa yupo so lonely hadi namuonea huruma. Mengine sisemi watajuana huko mbele.

Hitaji lake:
Anamtafuta mwanamke mhenga ambaye watapeana faraja za hapa na pale of koz watakula 'tunda' hahahaha. Anaweza kuwa single mom, au hajawahi kuzaa ila umri umeenda, au ameachika lakini awe na akili timamu. Mwanamke awe anajitambua. Kwa sasa yupo Moro ila anahamia DSM.

Jamaa hatafuti kuoa maana alioa ndoa ya kanisani, anachotaka ni farijiko tu la mtu wa kupeana moyo maisha yasonge aendelee kusimamia malezi ya watoto wake. Na ndio maana anamtafuta mhenga mwenzake wajikite kusimamia malezi na kupeana faraja za hapa na pale. Ila km mtashawishiana hadi kuoana sawa nyie wenyewe tu mm simo.

Karibuni wanawake mpeni faraja mshikaji wangu, msiniangushe pls.
 
Asa Kapuku...Mfano Nkewe Kaniendea Kwa Babu,kanimwagia Tindikali Najitibiaje Au Kujibu Mashambulizi,mwambie Atafute Pesa Kwanza
Akitafuta pesa, ndo akutafute wewe ama
 
Eee Hata Kama Sio Mimi Atapata Wazuri Zaidi Yangu
 
Katichi ,mambo Ya Kukojoleshwa Dagaa Halafu Hata Pesa Ya Kujitibia Achilia Mbali Pensheni Nani Anayataka,mume Wa Mtu Mzigo Unakuwa Mwepesi Pale Anapokua Na Pesa Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…