CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
charminglady kisichoriziki hakiliki.Angekuwa mume ningesema atetee but mchumba akae pembeni kuepusha msongamano. Mungu ana watu wengi sana wengine wakipanda mlima wengine wanashuka upo hapo?
charminglady mahari ilikuwa ni indicator kwamba anamposa awe mke but it didn't work out unafikiri what next? najua kuumia kupo sana tu, tena si kipolepole but anapaswa ajue si kwamba maisha ndio yameisha, au si kwamba amekuwa nusu mtu la hasha. ythnx gfsonwin,kuna kitu nllisahau.yan hapo mr. X alikuwa ashatoa mahari na ilikuwa inatambilika kuwa dada P ni mke mtarajiwa wa mr. X kilichokuwa kimebaki ni kuhalalisha kwa maana ya ndoa. lakini mpk sasa mr.X kashikilia msimamo wa kutaka kurudishiwa mahari y
Huyo mwanaume amefanya utafiti kwa alichokisikia au amekurupuka tu kufanya huo uamuzi?? Angekuwa na mapenzi ya dhati kwa huyo dada angafanyia uchunguzi alichokisikia.. ! Nampa pole huyo dada ila nampa pole zaidi huyo kaka kwani inaelekea anaishi kwa kusikiliza maneno ya watu.. Huyo dada asijali atapata mume ambaye ametoka kwa Mungu..
Dada P alikuwa na mchumba wake waliyedumu kwa muda wa miaka 5, mpaka akam-engage. now mkaka amemuacha solemba pamoja na kuwa kesham-engage. kisa ni kwamba mkaka alipigiwa simu na ndgu yake kuwa dada P ana uhusiano na mkaka mwingine. basi huyo mchumba wa dada P akachukua uamuzi wa kuachana naye na inasemekana mkaka ameshatafutiwa mchumba mwingine toka kijijini.... so anahitaji ushauri je afanyeje? na mwanaume kashikilia msimamo wa kuachana?
nadhani kaka hajashikilia uamuzi wa kuachana bali ameachana. dada P hana cha kufanya zaidi ya kuikubali hii hali, ni mambo yanayotokea, tena ni magumu kuelezea. ninaamini hili la kuwa dada P ana mahusiano na mtu mwingine ni kisingizio tu
tukumbuke kuwa kila mmoja hapa duniani anapenda kuishi na mtu ambaye ana sifa tunazo zipenda , kilichotokea hapo ni kuwa kaka P ameona kuna kitu kimepungua au kimejitokeza , ambacho hataweza kuvumilia. hawezi kumwambia dada P ukweli. jambo hili linaweza kumtokea yoyote, huenda hata Dada P angeliweza kumuacha huyu kaka sku moja. isipokuwa inapotokea inaumiza sana. nakushauri tu umfariji dada P, umuone kama mfiwa, ktk kipindi hiki kwani anamajonzi kumpoteza mpenzi wake
Kindimbajuu sidhani kama uko sahihi hapo kwa red, anayejua ukweli ni mhusika mwenyewe hivyo hatujui upande mwingine wa shilingi, inaweza kuwa kweli au si kweli
dada yetu gfsonwin nakushukuru sana kwa ushaur wa kutia moyo. dada P aliumia mpk akapungua. bt nw kaanza kupata ahuen kidogo! make tumejitahd sana kumfanyia counselling. . .
Dada P alikuwa na mchumba wake waliyedumu kwa muda wa miaka 5, mpaka akam-engage. now mkaka amemuacha solemba pamoja na kuwa kesham-engage. kisa ni kwamba mkaka alipigiwa simu na ndgu yake kuwa dada P ana uhusiano na mkaka mwingine. basi huyo mchumba wa dada P akachukua uamuzi wa kuachana naye na inasemekana mkaka ameshatafutiwa mchumba mwingine toka kijijini.... so anahitaji ushauri je afanyeje? na mwanaume kashikilia msimamo wa kuachana?
Charminglady mnapoendelea na counselling msisahau pia kumpa ushauri wa kumjenga hata kama ni mchungu kuutamka, yaani ikiwa tuhuma hizo ni za kweli next time (akipata mchumba mwingine) asifanye hivyo. I know ni marafiki wachache (wakiume au wakike) wanaweza kufanya hivyo.
Jibu mbona liko wazi???.....amwache manake hakunaga mapenzi ya kulazimishiana!.......atapata wake aliyepangiwa na Mungu