Kindimbajuu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2009
- 710
- 247
Kindimbajuu, dada P hakuwa na mahusiano na mtu mwngne bali mr.X alikuwa anatafta sababu ya kumuacha dada P kwan inakuwaje mtu umuamche mchumba wako uliemu-engage thn ndan ya mwez uanze process za kumuoa mwingne? hapo huon km mr.X alikuwa ana mahusiano mengne?????
Si aende kwa huyo mwengine? Ilivyokuwa wote ni wanaume sioni tatizo!Dada P alikuwa na mchumba wake waliyedumu kwa muda wa miaka 5, mpaka akam-engage. now mkaka amemuacha solemba pamoja na kuwa kesham-engage. kisa ni kwamba mkaka alipigiwa simu na ndgu yake kuwa dada P ana uhusiano na mkaka mwingine. basi huyo mchumba wa dada P akachukua uamuzi wa kuachana naye na inasemekana mkaka ameshatafutiwa mchumba mwingine toka kijijini.... so anahitaji ushauri je afanyeje? na mwanaume kashikilia msimamo wa kuachana?
kuwa na subira usiwe na haraka najua hizo ni hasira sikiisha atajirudi, miaka mitano ni mingi sana hivyo hawezi kukuacha kirahisi hivyo.
so mwanaume kalipa mahari na kutangaza kwa watu anaooa halafu
aghairi bila kuwa convinced kuwa kuna hakiko sawa?
huyo mdada anajua alichokifanya
huyo mwanaume sio mjinga
Si aende kwa huyo mwengine? Ilivyokuwa wote ni wanaume sioni tatizo!
ni kwamba dada P hakuwa na mtu bali mr.X ndo alimwacha kwa visingizio vya uongo!
Waitwe wazee, arudishiwe mahari yake na kiji-ring cha engagement dada wa watu awe huru kurudi sokoni! Maisha yenyewe mafupi haya, mtu hujamzaa wewe anakutia stress?
Mwanaume wa kusikia namna hiyo atampeleka wapi kusiko na wanafki na vizabina? Manake kuna mtu akikuona hata na mtoto wa kakako anasema una serengeti boy! Waiii!
ni kwamba dada P hakuwa na mtu bali mr.X ndo alimwacha kwa visingizio vya uongo!
Huyo hakuwa mchumba wa kweli ww huwezi ckia tu habari huku hakikisha ukweli wa mambo unajifanya kusepa yeye aseme amemchoka tu alikuwa anatafuta sababu.