Anahitajika Afisa Masoko - Pombe Kali

Anahitajika Afisa Masoko - Pombe Kali

English Learner

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
356
Reaction score
357
Habari Wadau,

Anahitajika mtu mwenye sifa zifuatazo:
  • Awe na uzoefu wa kuuza pombe kali (Spirits) walau boksi 2,000 kwa mwezi
  • Awe mwaminifu na muadilifu
  • Awe tayari kufanya kazi Singida, Dodoma na Rukwa
  • Awe na umri kati ya miaka 25-35
Kama una sifa zilizotajwa nitumie email kupitia english.learnertz@gmail.com
 
weka mawasiliano mkuu.
mambo ya kufuatana inbox unalivunjia heshima tangazo.
Kuna watu wana hizo sifa lakini hawapo humu JF watakupataje?
 
Wawekee vijana mshahara na benefits zingine boksi 2000 si mchezo.
 
Habari Wadau,

Anahitajika mtu mwenye sifa zifuatazo:
  • Awe na uzoefu wa kuuza pombe kali (Spirits) walau boksi 2,000 kwa mwezi
  • Awe mwaminifu na muadilifu
  • Awe tayari kufanya kazi Singida, Dodoma na Rukwa
  • Awe na umri kati ya miaka 25-35
Kama una sifa zilizotajwa nitumie email kupitia english.learnertz@gmail.com
Mkuu ukihitaji Plant Manager/Maintenance Manager kwenye spirits/beverages manufacturing plant nipo hapa
 
Back
Top Bottom