English Learner
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 356
- 357
E-mail: english.learnertz@gmail.comMkuu weka e mail au namba za simu iwe rahis kukufikia
Mkuu ukihitaji Plant Manager/Maintenance Manager kwenye spirits/beverages manufacturing plant nipo hapaHabari Wadau,
Anahitajika mtu mwenye sifa zifuatazo:
Kama una sifa zilizotajwa nitumie email kupitia english.learnertz@gmail.com
- Awe na uzoefu wa kuuza pombe kali (Spirits) walau boksi 2,000 kwa mwezi
- Awe mwaminifu na muadilifu
- Awe tayari kufanya kazi Singida, Dodoma na Rukwa
- Awe na umri kati ya miaka 25-35