Wanabodi...!
Anahitajika haraka dalali/madalali wa nyumba, viwanja na mashamba kutoka mkoa wa Morogoro, anayeishi Morogoro Mjini.
Kwa maelezo zaidi ani PM haraka iwezekenavyo ili tuyajenge. Aweze kuweka namba zake za mawasiliano za simu zinazopatikana muda wote.
Nawasilisha.