Anahitajika Dalali/ supplier wa Mazao (kitunguu, Mahindi, Alizeti)

Star onair

Senior Member
Joined
May 31, 2020
Posts
144
Reaction score
145
Habari ndugu zangu. Nashukuru Mungu wangu kwa kuendelea kunitendea yaliyo mema siku zote.

Nina gunia nyingi ambazo zimeshavunwa zipo Morogoro za mazao tajwa hapo juu.

Nahitaji Mtu mwenye connection kubwa ya wateja na nitamlipa hata 15% ya pesa ntakayouza kwa kila gunia.

Ila kwa sasa nahitaji kuuza zaidi kitunguu.

Nakukaribisha PM. Mtu mwenye uzoefu na hii deal.
 
Nenda masokoni mpendwa utapata wanunuz au beba mazao yako nenda masokoni makubwa tafuta nafas mwaga na uuze utapata faida kubwa kuliko kutumia madalali, ningekua na mtaji ningekuja nunua nikakuonesha jinsi kuuza mwenyewe ilivo na faida kuliko madalali sababu Nina uzoev na kuuza masokoni ni biashara nzur sana.

Mungu akujaalie upate madalali mkuu
 
Sawa ndugu
 
Sasa si ufanye nae kazi umuuzie huko masokoni kwa bei kubwa ili yeye akupe hio percentage win / win
 
Habari ndugu zangu. Nashukuru Mungu wangu kwa kuendelea kunitendea yaliyo mema siku zote.

Nina gunia nyingi ambazo zimeshavunwa zipo Morogoro za mazao tajwa hapo juu.

Nahitaji Mtu mwenye connection kubwa ya wateja na nitamlipa hata 15% ya pesa ntakayouza kwa kila gunia.

Ila kwa sasa nahitaji kuuza zaidi kitunguu.

Nakukaribisha PM. Mtu mwenye uzoefu na hii deal.
Weka simu hapa mwenye interest atakupigia.Ninao Ila siwezi kufuata PM, kama ndo wale wanaotaka the actual face of my concubine
 
Madalali watakuchezea ndugu. Achana nao!

Vitunguu tengeneza kichanja, vimwage visambaze, usiviweke kwenye magunia. Nenda masokoni uzia wenye meza.

Alizeti na mahindi wauzaje na una gunia ngapi? Za ujazo upi?

Everyday is Saturday...............................😎
 
Back
Top Bottom