Star onair
Senior Member
- May 31, 2020
- 144
- 145
Sawa nduguNenda masokoni mpendwa utapata wanunuz au beba mazao yako nenda masokoni makubwa tafuta nafas mwaga na uuze utapata faida kubwa kuliko kutumia madalali, ningekua na mtaji ningekuja nunua nikakuonesha jinsi kuuza mwenyewe ilivo na faida kuliko madalali sababu Nina uzoev na kuuza masokoni ni biashara nzur sana.
Mungu akujaalie upate madalali mkuu
Sasa si ufanye nae kazi umuuzie huko masokoni kwa bei kubwa ili yeye akupe hio percentage win / winNenda masokoni mpendwa utapata wanunuz au beba mazao yako nenda masokoni makubwa tafuta nafas mwaga na uuze utapata faida kubwa kuliko kutumia madalali, ningekua na mtaji ningekuja nunua nikakuonesha jinsi kuuza mwenyewe ilivo na faida kuliko madalali sababu Nina uzoev na kuuza masokoni ni biashara nzur sana.
Mungu akujaalie upate madalali mkuu
Weka simu hapa mwenye interest atakupigia.Ninao Ila siwezi kufuata PM, kama ndo wale wanaotaka the actual face of my concubineHabari ndugu zangu. Nashukuru Mungu wangu kwa kuendelea kunitendea yaliyo mema siku zote.
Nina gunia nyingi ambazo zimeshavunwa zipo Morogoro za mazao tajwa hapo juu.
Nahitaji Mtu mwenye connection kubwa ya wateja na nitamlipa hata 15% ya pesa ntakayouza kwa kila gunia.
Ila kwa sasa nahitaji kuuza zaidi kitunguu.
Nakukaribisha PM. Mtu mwenye uzoefu na hii deal.
Nahitaji 180 kBei ya gunia moja Kitunguu ipoje kiongozi
Gunia la Alizeti 70 kAlizeti unauzaje gunia?