Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri ya Mwaka Mpya 2016, WanaJF
Tafadhali naomba mnielekeze Fundi Bingwa Wa Gari za Aina ya Nissan Xtrail. Nipo Dar es Salaam
Tafadhali naomba mniwekee hapa Namba zao Tafadhali. Nitawashukuru Sana.
Aiyaaa... Sasa anawezaje kunisaidia? Labda nikipata namba yake nimcheck kwa kumuuliza maswali..Najua fundi ila yupo Arusha...Ni specialist alifanyiwa mafunzo ya ufundi na watengeneza Nissan uko ughaibuni
Naweza kupata namba ya huyo fundiNajua fundi ila yupo Arusha...Ni specialist alifanyiwa mafunzo ya ufundi na watengeneza Nissan uko ughaibuni