Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

kabugira

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
1,186
Reaction score
659
Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gas nje ya nyumba kama inavyoonyesha hapa kwenye video. Mimi nipo Pugu

View attachment 2631215
 
This is useless 😂😂 . Mtungi ni fire proof . Ndani inaingia pipe ya gas , so una increase risk of leakage for a long pipe . Fire outbreak remain constant , Kama for decoration sawa
 
This is useless 😂😂 . Mtungi ni fire proof . Ndani inaingia pipe ya gas , so una increase risk of leakage for a long pipe . Fire outbreak remain constant , Kama for decoration sawa
Humu kuna uzi kuhusu hili na wataalamu wanashauri hivyo
 
This is useless 😂😂 . Mtungi ni fire proof . Ndani inaingia pipe ya gas , so una increase risk of leakage for a long pipe . Fire outbreak remain constant , Kama for decoration sawa
Mkuu, hakuna kitu ambacho ni fire proof.
 
Ukitoka hapo home ingia mtaa wa pili ukikunja kushoto uelekeo kama unaenda dukani kwa mangi kuna fundi welding mweleze idea yako.

Siku hizi kila mtaa una fundi hawa wa mitandaoni watakuletea viingereza vingi mwisho wakwambie 500K ukienda mtaani utaambiwa 80K tu.
 
Hakikisha iyo pipe ya gesi kuingia ngani inawekwa kama waya za umeme, fundi atindue" ukuta apitishea mrija wa gesi ndani ya bomba kama lile la waya z umeme asakafie, hii itakusaidia kuepuka pike kukatwa au kuharibika na jua, pia kama una watoto wasumbufu itasaidia
 
Back
Top Bottom