Hakikisha ni kibanda cha chuma na sio mbao especially kama nyumba haina uzio.Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gas nje ya nyumba kama inavyoonyesha hapa kwenye video. Mimi nipo Pugu
Humu kuna uzi kuhusu hili na wataalamu wanashauri hivyoThis is useless ππ . Mtungi ni fire proof . Ndani inaingia pipe ya gas , so una increase risk of leakage for a long pipe . Fire outbreak remain constant , Kama for decoration sawa
Mkuu, hakuna kitu ambacho ni fire proof.This is useless ππ . Mtungi ni fire proof . Ndani inaingia pipe ya gas , so una increase risk of leakage for a long pipe . Fire outbreak remain constant , Kama for decoration sawa
Thread 'Epuka kukaa na mtungi wa gesi ndani' Epuka kukaa na mtungi wa gesi ndaniThis is useless ππ . Mtungi ni fire proof . Ndani inaingia pipe ya gas , so una increase risk of leakage for a long pipe . Fire outbreak remain constant , Kama for decoration sawa
I wish ninge join the conversation , Itβs little to minimal risks . Just more expensive for unlike event .Humu kuna uzi kuhusu hili na wataalamu wanashauri hivyo
Bro . Usikaze kichwa . Itβs very hard for a tank to catch fire and that temperature I believe it might be the last thing to blow in the houseMkuu, hakuna kitu ambacho ni fire proof.
Huyu jamaa was sales person. Selling fear . Accident do occur . But they are very rare and mostly ni pipe leakage . Ambazo zinaingia ndani .Thread 'Epuka kukaa na mtungi wa gesi ndani' Epuka kukaa na mtungi wa gesi ndani
Gas cooker are safer than charcoal cooker .Humu kuna uzi kuhusu hili na wataalamu wanashauri hivyo