Anahitajika fundi wa redio ya gari (Android) yenye tatizo la screen

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Anayejua fundi wa redio ya gari ya Android, ni mpya kabisa fundi alipokuwa anarekebisha umeme nadhani alipigisha shoti. Redio inatoa sauti ila kioo kinablink white light tu.
 
Nenda magomeni Usalama ukivuka stand ya Rahaleo pale karibu na Mwembechai kuna mafundi wengi wa redio za magari
 
Natafuta radio kama hiyo ya android ya gar aina premio middle model,zinauzwaje na napata kwa nani ambazo n nzur
 
Natafuta radio kama hiyo ya android ya gar aina premio middle model,zinauzwaje na napata kwa nani ambazo n nzur

Ingia instagram mr Toyota ukikosa nenda lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…