Anahitajika Kijana wa KIKE kufanya kazi katika Stationery - Morogoro Mjini

Kingo

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2009
Posts
856
Reaction score
395
Kijana wa kike mwenye ujuzi wa computer na photocopying skills anahitajika Morogoro Mjini.
Awe mchangamfu, mwaminifu, mwenye uwezo wa ku-interact na watu wa rika na aina tofauti bila matatizo, hasa wanafunzi. (Good customer care and communication skills are essential qualities)
Tafadhali ni-PM kwa mawasilano zaidi.
 
Kwan wewe "kingo" ni jinsia gan?? Pale kaumba au mziwanda wapo kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…