Anahitajika kijana wa kuuza bucha

Anahitajika kijana wa kuuza bucha

Anaitajika mtu mwenye uzoefu wa kuuza bucha ya nyama na samaki kwa ajira ya muda mrefu.

Bucha iko bunju. Ni PM kama unauzoefu na kazi hii.

Nilikupm siku chache nyuma kwa bandiko kama hilihili ingawaje hukuujibu ujumbe wangu. Nilijua labda umeshampata
 
Nipo hapa nahitaji hiyo kazi Nina uzoefu miaka miwili....
 
Back
Top Bottom