M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 139 Reaction score 89 Oct 12, 2021 #1 Anaitajika mtu mwenye uzoefu wa kuuza bucha ya nyama na samaki kwa ajira ya muda mrefu. Bucha iko bunju. Ni PM kama unauzoefu na kazi hii.
Anaitajika mtu mwenye uzoefu wa kuuza bucha ya nyama na samaki kwa ajira ya muda mrefu. Bucha iko bunju. Ni PM kama unauzoefu na kazi hii.
J Jolivia New Member Joined Oct 1, 2021 Posts 3 Reaction score 2 Oct 12, 2021 #2 Kazi nyingine uzoefu wa nn nikitendo cha kuelekezana chap tu
Idrisa1510 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 254 Reaction score 351 Oct 15, 2021 #3 Mabala21 said: Anaitajika mtu mwenye uzoefu wa kuuza bucha ya nyama na samaki kwa ajira ya muda mrefu. Bucha iko bunju. Ni PM kama unauzoefu na kazi hii. Click to expand... Nilikupm siku chache nyuma kwa bandiko kama hilihili ingawaje hukuujibu ujumbe wangu. Nilijua labda umeshampata
Mabala21 said: Anaitajika mtu mwenye uzoefu wa kuuza bucha ya nyama na samaki kwa ajira ya muda mrefu. Bucha iko bunju. Ni PM kama unauzoefu na kazi hii. Click to expand... Nilikupm siku chache nyuma kwa bandiko kama hilihili ingawaje hukuujibu ujumbe wangu. Nilijua labda umeshampata
M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 139 Reaction score 89 Oct 15, 2021 Thread starter #4 Idrisa1510 said: Nilikupm siku chache nyuma kwa bandiko kama hilihili ingawaje hukuujibu ujumbe wangu. Nilijua labda umeshampata Click to expand... Nashukuru, nineshapata mtu boss.
Idrisa1510 said: Nilikupm siku chache nyuma kwa bandiko kama hilihili ingawaje hukuujibu ujumbe wangu. Nilijua labda umeshampata Click to expand... Nashukuru, nineshapata mtu boss.
CABANA JF-Expert Member Joined Feb 6, 2013 Posts 420 Reaction score 556 Oct 15, 2021 #5 Nipo hapa nahitaji hiyo kazi Nina uzoefu miaka miwili....