Atlantis Voyager
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 371
- 502
Kuna kiwanja kimeshajengwa nyumba kipo nusu bondeni nusu mlimani. Ardhi yake haiko sawa anatafutwa fundi mtaalamu wa kulevel ardhi ili paonekane pamependeza na mvua isiharibu baadhi ya kingo za nyumba. Vile vile atakaye design namna mifereji ipite ili kutoa maji ya mvua nje ya kiwanja.