Anahitajika Mfamasia, mkoa wa kazi ni Lindi

Anahitajika Mfamasia, mkoa wa kazi ni Lindi

Edna kahema

Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
7
Reaction score
4
Anahitajika mfamasia mwenye Degree, mshahara utakuwa ni makubaliano kati ya mkurugenzi na muhusika.

Tupo mkoa wa Lindi kwa maelezo zaidi piga +255 627 826 480 au 0656 704 979

Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom