Anahitajika mhasibu wa kujitolea (volunteer)

Kintiku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
617
Reaction score
321
Kuna jamaa kanipa kazi ya kutafuta mtu aliyesoma uhasibu (Fresh toka shule) ili afanye naye kazi kwa kujitolea ili apate uzoefu. Katika kujitolea atawezeshwa kupata fedha kwa ajili ya kujikimu. Anayetakiwa ni msichana anayeishi Dar ofisi ipo maeneo kati ya Magomeni na Manzese. Kama kuna mtu unamfahamu please mpe ujumbe huu
 
Kwanini mwanamke, halafu kuna Jamaa. Haya Mkuu Kazi ya kujitolea nayo inakosa maelezo ya kujitosheleza je ajira yakudumu itakuwaje.
 
akishapewa ujumbe atawasilianaje maana hujaweka contact zozote hapo
 
mdogo wangu ni wa kiume kamaliza stashahada ya uhasibu pale st augustine mwanza, hajapata kazi mpaka sasa, hiyo ingemfaa maana anaishi manzese, ila kupata kwake uume naona kumemkosesha kazi ya kujipatia uzoefu. haya wadada nafasi yenu iyo
 
​naona ungeenda tu jukwaa a love connect uweke wazi na sio volunteer tena.
 

nimeku PM
 
Wanajamvi
Ninaomba shule kuhusu kum-PM mtu unafanyeje? teteh theee mi kilazi kwenye hilo. Nisaidieni
 
Hii ni sawa na chui kulinda zizi la mbuzi,kweli kupata kazi ni kazi.
 
Ajitolee nae kuwasomesha wahasibu ili waje kujitolea kumsaidia nae
 
Hi mi mgeni humu bt nko very interested na hk kujitolea je ntajitoleaje ss wkt ht jn la ofc hujalitoa
 
Utamaduni wa ku volunteer ni mgeni sana TZ, subirini soko la pamoja EAC lichanganye ndo mtajua maana ya kuvolunteer. Mnawaza mapenzi tu
 
mbona mna complicate?kwani kuhitajika mvulana au msichana ni ajabu?wewe kama una sifa tuma.wenye kazi mna potosha uzi waache vijana wa kike wa apply
 
Wewe peleka mbuzi wakasadiane mahesabu
Duuu, haya ndio mawazo ya watetezi wa CCM na JK....

Very low... Hivi huwa mnashauriana nini katika vikao vyenu. Halafu kwa upupu huu mnadiriki kuikosoa CDM!!!1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…