Anahitajika mhudumu wa ofisi haraka

Anahitajika mhudumu wa ofisi haraka

ikigori

Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
26
Reaction score
0
Awe na umri usiozidi miaka 30,awe na ujuzi wa kutumia kompyuta,tuma maombi:johnmajaliwa10@yahoo.com
 
yupo ila umri umesonga ni kama 32 hivi but ana experience ya muda mrefu aliwah kufanya kazi iringa finca ni ndugu yangu utamkubali?
 
awe tayari kufanya kazi bagamoyo,tuma cv yake kwa email.
 
toeni jina la ofisi jamani du usije kuta ofisi kwa mtu nyumbani lol
 
Unaonaje kama ungetoa jina la kampuni ili kama mtu anatumia awe na uhakika kuliko kutoa tu email.
 
Mimi mwenyewe nahitaji ila naogopa maana kampuni yenyewe haijulikani
 
Back
Top Bottom