Mpishi mzoefu anahitajika, Kupika kwenye Mgahawa, mahali, Kivule Bomba mbili, Dar es salaam.
1. Ambaye atakuwepo masaa 24,
2. Ajisimamie mwenyewe.
3. Atafute mwenyewe, wafanyakazi atakaofanya nao.
4. Afanye aina zote za vyakula, vinywaji.
Chips na aina zote za vyakula mchana, Asubuhi aina zote za Bites, Supu asubuhi, nyama choma, Ugali, Supu Usiku, chapati asubuhi na usiku.
Piga Simu: 0683977008