kijana13 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 1,981 Reaction score 3,631 Sep 24, 2013 #1 hallo Anahitajika mpishi na mpambaji wa keki na cookies, mwenye uzoefu thanks kijana
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Sep 24, 2013 #2 daa hapa ningekuwa na namba za yule dada wa pale best bite dah ningekula hela ya udalali..
kijana13 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 1,981 Reaction score 3,631 Oct 2, 2013 Thread starter #3 ndetichia said: daa hapa ningekuwa na namba za yule dada wa pale best bite dah ningekula hela ya udalali.. Click to expand... Mtafute kijana upate pesa ya udalali fasta, hata kama amejiriwa anaweza fanya part time
ndetichia said: daa hapa ningekuwa na namba za yule dada wa pale best bite dah ningekula hela ya udalali.. Click to expand... Mtafute kijana upate pesa ya udalali fasta, hata kama amejiriwa anaweza fanya part time
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Oct 2, 2013 #4 kijana13 said: Mtafute kijana upate pesa ya udalali fasta, hata kama amejiriwa anaweza fanya part time Click to expand... tatizo nipo mkoa ndo tabu sasa..
kijana13 said: Mtafute kijana upate pesa ya udalali fasta, hata kama amejiriwa anaweza fanya part time Click to expand... tatizo nipo mkoa ndo tabu sasa..