Tangazo nahitaji mpishi wa vitafunwa na chakula cha mchana na
Vyakula include pilau biryan wali wa kawaida ndizi mshahara sh laki 2 include chakula cha mchana kwangu kwa atakaehitaji awasiliane na namba 0747848885/0742009965 location ni kibaha visiga