Anahitajika Msichana wa Stationery - Arusha

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,615
Reaction score
545
Wadau, anahitajika msichana wa kusimamia Stationey Sakina Arusha

Sifa za Msichana


1. Awe mkazi wa Maeneo ya Sakina au Majengo (kuepuka usumbufu wa kuchelewa kazini, nauli za kila siku n.k
2. Awe na uelewa mzuri wa Ms Office Version Zote, zaidi sana Ms Publisher
3. Awe anajua Photoshop
4. Awe na Typing Speed nzuri
5. Awe mchangamfu na mwenye lugha nzuri…..



Kwa wanaotaka kazi hii, nitumie PM yenye namba ya simu ili niipeleke kwa wahusika
 

hiyo stationary ipo Sakina ipi? kwa idd, raskazone au?
 
Unalipa kiasi gani kwa mwezi?
 
Unalipa kiasi gani kwa mwezi?

Kiongozi hii nimeisikia mahali ndio nikaamua kuirusha humu kwa hiyo kama anataka kazi anafika tu pale akiona mshahara mdogo kwani atalazimishwa mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…