Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Nov 15, 2020 #1 Habari za asubuhi? Anahitajika fundi mzuri wa kushona nguo za kike. Eneo la kazi ni Tabata Aroma, Dar es salaam. Kama unahisi hii ni kazi yako na inakufaa, wasiliana na Dalali - 0744033555
Habari za asubuhi? Anahitajika fundi mzuri wa kushona nguo za kike. Eneo la kazi ni Tabata Aroma, Dar es salaam. Kama unahisi hii ni kazi yako na inakufaa, wasiliana na Dalali - 0744033555
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Nov 15, 2020 #2 Dalali wa nn? Weka namb ya bos