Sabasaba
Senior Member
- Jul 12, 2007
- 105
- 58
Ninahitaji mtaalamu wa nyuki kuendesha na kusimamia kalenda ya ufugaji nyuki, uvunaji na packing. Awe na elimu ya Diploma au cheti na uzoefu wa mambo ya nyuki na awe tayari kukaa shambani kwa zaidi ya asilimia 60 ya muda wake.
Nyumba ya kuishi ipo na huduma za msingi zinapatikana kwa mazingira ya shamba. Shamba liko Kisarawe na kuna Mizinga zaidi ya 400 huku yenye nyuki ni 304. Ni karibu na mto hivyo nyuki wanaingia muda wote kwenye mizinga hivyo usimamizi mkubwa ni usafi wa mizinga, kuvuna mazao bora na kupaki katika kiwango cha soko la ndani.
Mwombaji anayetokea maeneo ya Kibaha na Kisarawe atafikiriwa zaidi, karibu inbox kwa maelezo zaidi