Una shule au kituo cha daycare?Anahitajika mwalimu wa kujitolea hasa wa kike,awe na uwezo wa kufundisha darasa I na II,hata chini ya hapo siyo mbaya.
Awe mahiri wa lugha za Kiingereza na kiswahili,hasa kuzungumza kiingereza kwa ufasaha.
Atajitolea miezi mitatu,then atapewa mkataba kamili,kipindi anajitolea atalipwa posho,atapewa sehemu ya kulala pia.
Aliye tayari anakaribishwa.
Mimi hapa mkuu. Nina degree ya catering na ninaongea na kuandika kiingereza swafi.Anahitajika mwalimu wa kujitolea hasa wa kike, awe na uwezo wa kufundisha darasa I na II, hata chini ya hapo siyo mbaya. Awe mahiri wa lugha za Kiingereza na Kiswahili, hasa kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha.
Atajitolea miezi mitatu, then atapewa mkataba kamili, kipindi anajitolea atalipwa posho, atapewa sehemu ya kulala pia.
Aliye tayari anakaribishwa.
Unamuita Headmaster kiazi ?๐Seriously!!! Huku JFs watu hawana muda wa maswali mara sijui mkoa gani shule ipi! Kuwa straight forward ww kiaz
Employers wana assume binadamu haliHuu ni ujinga kujitolea miezi 3 halafu wakati huo unakula wapi sasa?
Kama ni HM bac akili zake hazitumiki sawasawaUnamuita Headmaster kiazi ?๐
Ndo probation hiyoHuu ni ujinga kujitolea miezi 3 halafu wakati huo unakula wapi sasa?