Anahitajika mwalimu wa kujitolea kufundisha somo la Kiingereza

Anahitajika mwalimu wa kujitolea kufundisha somo la Kiingereza

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
376
Reaction score
127
Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)

Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.

NB: Shule ipo Ifakara Morogoro

Mawasiliano. 0621538913.

KARIBU SANA
 
Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)

Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.

NB. Shule ipo Ifakara Morogoro

Mawasiliano. 0621538913.

KARIBU SANA
kweli fani ya ualimu imedharaulika sana!!!
 
Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)

Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.

NB. Shule ipo Ifakara Morogoro

Mawasiliano. 0621538913.

KARIBU SANA
Uhujumu uchumi una dimensions nyingi Sana
 
Mimi sio mwalimu nina shahada nyingine ila nina uwezo wa kufundisha, Nije?
Matarajio ya baadae ni kumwingiza mwl kwenye permanent contract.. So kwa upande wa qualifications zitakubana. Thanks for your concern...!
 
Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)

Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.

NB. Shule ipo Ifakara Morogoro

Mawasiliano. 0621538913.

KARIBU SANA
Kwa nini mnataka jinsia ya KE tu?
Naona kama mnacheza kwenye mstari mwembamba sana kuelekea kwenye ubaguzi wa kijinsia katika uajiri wenu?
 
Yaani una dharau Sana wewe. Degree umlipe mtu 150k? Tena kwa nyodo kabisa unajifaragua kwa mbwembwe na majibu yako ya hovyo. Tegemea matokeo sawa na hiyo posho.....don't expect more.
Jaza ujazwe!!!!!!!
Baki na degree yako......
 
Ndio maana hata shule za binafsi siku hizi zimeporomoka kwa kasi sana kiwango chake. Kumbe ndio mnawaajiri waalimu kijanja namna hiyo?
 
Kwa hiyo laki na nusu anunue mahitaji muhimu apate nyumba ya kupanga nk mmepigaje hiyo hesabu?hebu muogopeni Mungu jamani!
 
Back
Top Bottom