Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 376
- 127
kweli fani ya ualimu imedharaulika sana!!!Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)
Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.
NB. Shule ipo Ifakara Morogoro
Mawasiliano. 0621538913.
KARIBU SANA
Uhujumu uchumi una dimensions nyingi SanaMwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)
Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.
NB. Shule ipo Ifakara Morogoro
Mawasiliano. 0621538913.
KARIBU SANA
Ni mfumo [emoji16][emoji4]kweli fani ya ualimu imedharaulika sana!!!
Sio lazima. Huwezi acha [emoji848]Uhujumu uchumi una dimensions nyingi Sana
Matarajio ya baadae ni kumwingiza mwl kwenye permanent contract.. So kwa upande wa qualifications zitakubana. Thanks for your concern...!Mimi sio mwalimu nina shahada nyingine ila nina uwezo wa kufundisha, Nije?
Kwa nini mnataka jinsia ya KE tu?Mwalimu wa KUJITOLEA wa somo la English Language anahitajika. (Posho kwa mwezi ni 150,000/= tu.)
Sifa kubwa
1. Awe ni jinsi ya KE.
2. Elimu ya Stashahada au Shahada ya Elimu.
NB. Shule ipo Ifakara Morogoro
Mawasiliano. 0621538913.
KARIBU SANA
Supply and Demand.kweli fani ya ualimu imedharaulika sana!!!
Nenda tu madam StephenMimi sio mwalimu nina shahada nyingine ila nina uwezo wa kufundisha, Nije?
Jinsi ya ME ni wengi hapa kazini. So tunahitaji ulinganifu wa jinsi pia. AsanteKwa nini mnataka jinsia ya KE tu?
Naona kama mnacheza kwenye mstari mwembamba sana kuelekea kwenye ubaguzi wa kijinsia katika uajiri wenu?
Yaani una dharau Sana wewe. Degree umlipe mtu 150k? Tena kwa nyodo kabisa unajifaragua kwa mbwembwe na majibu yako ya hovyo. Tegemea matokeo sawa na hiyo posho.....don't expect more.Jinsi ya ME ni wengi hapa kazini. So tunahitaji ulinganifu wa jinsi pia. Asante
Haha! ‘shitu sha hatari’Yaani una dharau Sana wewe. Degree umlipe mtu 150k? Tena kwa nyodo kabisa unajifaragua kwa mbwembwe na majibu yako ya hovyo. Tegemea matokeo sawa na hiyo posho.....don't expect more.
Jaza ujazwe!!!!!!!
Baki na degree yako......Yaani una dharau Sana wewe. Degree umlipe mtu 150k? Tena kwa nyodo kabisa unajifaragua kwa mbwembwe na majibu yako ya hovyo. Tegemea matokeo sawa na hiyo posho.....don't expect more.
Jaza ujazwe!!!!!!!
Kweli una dharau weweBaki na degree yako......
Wewe wasemaNdio maana hata shule za binafsi siku hizi zimeporomoka kwa kasi sana kiwango chake. Kumbe ndio mnawaajiri waalimu kijanja namna hiyo?
Baki na kishule chako uchwara.....MTU kasoma kwa gharama weee then unakuja hapa ety mshahara 150k.....Baki na degree yako......
Na wewe kajenge ya kwako..Baki na kishule chako uchwara.....MTU kasoma kwa gharama weee then unakuja hapa ety mshahara 150k.....
Tena koma kabisa....