Anahitajika Secretary Wa kupiga na kupokea simu

Kazi ya secretary inahitaji masichana mcheshi na mzungumzaji na awe mkaribu na mwenye tabasamu. Kuna baadhi ya investors wakikutana na secretary mwenye tabia zisizo nzuri huondoka hapohapo na kuishia kujiuliza ilikuwaje wale investors wameondoka.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
kwa bongo hii mamamamaeeee kumpata wa hivi labda uende mwezini. Haya yote atayafanya first few months then baada ya hapo akishazoea kazi na kupata mchepuko hapo kazini mamamamaeeee walahi.
Customer care ni rocket science hapa bongo hasa kwa wadada pia wakala

Disclaimer ...wapo few exceptions ambao wamezaliwa bongo kimakosa
 
Habari wakuu

Nahitaji secretary, jinsia yoyote ,umri wowote, mwenye uzoefu wa kupigia simu wateja, kupanga mikutano, kukumbusha madeni n.k. Anaweza fanyia kazi online, ila akiwa Dar au Kibaha ni bora zaidi.

Piga 0713-039 875

Nipo mkuu
 
Ufafanuzi zaidi mkuu, hususani kuhusu malipo
 
Back
Top Bottom