Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
kwa bongo hii mamamamaeeee kumpata wa hivi labda uende mwezini. Haya yote atayafanya first few months then baada ya hapo akishazoea kazi na kupata mchepuko hapo kazini mamamamaeeee walahi.Kazi ya secretary inahitaji masichana mcheshi na mzungumzaji na awe mkaribu na mwenye tabasamu. Kuna baadhi ya investors wakikutana na secretary mwenye tabia zisizo nzuri huondoka hapohapo na kuishia kujiuliza ilikuwaje wale investors wameondoka.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Habari wakuu
Nahitaji secretary, jinsia yoyote ,umri wowote, mwenye uzoefu wa kupigia simu wateja, kupanga mikutano, kukumbusha madeni n.k. Anaweza fanyia kazi online, ila akiwa Dar au Kibaha ni bora zaidi.
Piga 0713-039 875
we munira wewe si ndio nilikuunganisha na kazi kule tabata? namba yako ya voda n special number?Nipo mkuu
we munira wewe si ndio nilikuunganisha na kazi kule tabata? namba yako ya voda n special number?
Ufafanuzi zaidi mkuu, hususani kuhusu malipoHabari wakuu