Anahitajika social media and content manager wa kike

Anahitajika social media and content manager wa kike

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
=========UPDATE========
NAFASI ZIMEKWISHA JAA, NA HILI TANGAZO LIMEFUNGWA, ASANTE.

================


Hello bosses and roses...

Anahitajika binti wa kufanya majukumu yafuatayo kwenye kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa software. Ataanza majukumu hayo remotely (kufanyia kazi popote alipo) kwa probation ya mwezi mmoja ambayo atakua analipwa na kupewa bonuses kisha kama akifanya vizuri atapewa mkataba na kujiunga na wengine ofisini.

Nafasi ni mbili tu

MAJUKUMU:
1) Kusimamia social media accounts za kampuni

2)Tuna apps za subscription ambapo atakuwa anawapigia wateja na kupokea simu zao endapo wakihitaji msaada (Customer care)

3)Pamoja na kazi ndogo ndogo zinazohusika na maeneo hayo.

VIGEZO:
1)Awe binti mwenye umri kati ya miaka 18 na 30

2)Awe anajua kuongea na kuandika vizuri kiswahili na kiingereza

3)Hatujali kuhusu vyeti kama uwezo wa kazi unao.

4)Location ni popote pale (remotely based) lakini akifanikiwa kuvuka probation period atachagua kuendelea kufanya remotely au kuwepo ofisini.

5)Awe anafundishika.

6)Awe na basics za IT.

Note:
Operations nyingi za kampuni ni remote based, hivyo awe na uwezo wa ku-attend cloud meetings, kuandaa report na kutumia web portals (atapewa mafunzo namna ya kutumia web portals za kampuni).


Ahsante.
 
Mkuu kama atakosekana wakike naomba nipate hio nafasi. Mimi ni Me na nimesoma Mass Communication pia ninaweza kuandika, kusoma na kuzungumza Kiswahili na Kingereza.
 
Moderator naomba mnisaidie kuweka tag kwamba hii position ni closed.

Tumepata almost applications 200, na kati ya hao tushapata wa kuendelea nao.

Shukran.
 
Back
Top Bottom